Monday, May 24, 2010

Karibu

Ndugu msomaji, nimekuwa na blogu hapo kabla lakini sikuweza kuifanyi kazi kama invyostahili. Nimeamua kuanzisha blogu hii mpya ili liwe jukwaa la kujadiliana jinsi ya kuimarisha demokrasia nchini kwetu Tanzania, Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Karibu kwa maoni, ushauri na hata makatazo!

5 comments:

  1. Naam,

    Binafsi nimefurahishwa na juhudi hizi na nadhani hapa tutaweza kujadili mambo kwa undani zaidi. Haya tutakuwa pamoja. Pia napatikana kupitia;

    http://www.msechustephen.blogspot.com/

    Msechu Stephen.

    ReplyDelete
  2. Zitto kwa pamoja tunaweza kufanya mabadiliko ndani ya serekali hii,kuanzisha blog hii ni sehemu pekee pia ya kukutana,kupeana taarifa na kujadili mada mbali mbali.

    ReplyDelete
  3. Nafurahi sana kuona mpiganaji umeamua kulianzisha upya. Hii itatupa fursa wengine kujifunza zaidi na hata vitabu vya kihistoria kutopotoshwa kirahisi.

    ReplyDelete
  4. Ni kweli kwamba kuendesha blog inahitaji kujituma zaidi kidogo. Hongera sana kwa kurudi katika kubadilishana mawazo na kupashana habari.

    Napatikana kupitia

    http://www.kapongola.wordpress.com

    Kapongola

    ReplyDelete
  5. Zitto, I do like the fact that some of you guys in the current administration have come to a realization that somehow involving people, especially electronically can somehow give you a view of how society feel about how they are being governed. Does that really matter to you guys in power? I don't think so.
    The information you posted on here is not any different from the ones I studies in Tanzania back in 2000's.
    The point I m trying to make here is you dont need to go to Malaysia to know how they did to turn around their economy. All you said here is quiet similar to what anyone can study in any Geography class; and that being the case we don't lack information on how to do things in the right way, but we lack the strategy, knowledge, willingness, and unity to get things done.
    So unfortunately, i find this whole "findings" of yours to be nothing else than same all talk the talk and not walk the walk type of politics that has crippled Tanzania for years.
    To be more specific, particularly in your substance reporting, i think it lacks credibility because i don't see how a "tax driver" can be a credible source to talk about his country's economic development time-span.
    Tanzanians would love to hear how you take on people in the matters that hinder micro-development like corruption, lack of accountability, favoritism, and the likes in the awful government that you are part of, and save us time to read the substance of global economic architecture.

    ReplyDelete